Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita katika Bahari ya Hindi kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach umefikia asilimia 70.6 na linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Urefu wa km 1.03, upana mita 20.5 pamoja na barabara unganishi zake zenye urefu wa zaidi ya km 5.2, litakuwa na njia 4 za magari pamoja na njia 2 za watembea kwa miguu.









You must be logged in to post a comment.