
“Hii ni Barabara ambayo ipo kwenye mpango wa kupita magari yaendayo kasi, moja ya makubaliano katika mkataba ni kufanya marekebisho madogomadogo na tayari TANROADS wamewakabidhi, hatuwezi kukaa kusubiri, nimewapa siku saba Wakandarsi watengeneze ili Wananchi wa Temeke waendelee na kazi zao”-Gondwe
“Magari yanaharibika, madereva wanafukuzwa kazi na Maboss wao wanasema spring zinaharibika, wanachelewa kazini ubovu huu wa Barabaea ndio unawachelewesha, TANROADS wameshawaandikia barua nimewaleta waone kero wanayopata Wananchi mpaka Alhamisi Barabara ipitikeā- Gondwe
You must be logged in to post a comment.