Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kwenye shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John William Kijazi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atawaongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu














“Kijazi alizaliwa 1956 ila bado alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi, maana yake ulipofika wakati wa kustaafu mwaka 2017 nikajaribu kutafuta wa kuchukua nafasi yake nikakosa, nikamuongeza miaka miwili ikaisha sikupata, nikamuongeza mingine miwili, Mungu akasema ngoja akamtumie yeye”








You must be logged in to post a comment.