Baada ya kuondoka na alama 1 katika mchezo dhidi ya Mbeya City juma lililopita, Yanga hii leo wameambulia alama moja pia baada ya mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar kumalizika kwa sare ya 3-3

Baada ya kuondoka na alama 1 katika mchezo dhidi ya Mbeya City juma lililopita, Yanga hii leo wameambulia alama moja pia baada ya mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar kumalizika kwa sare ya 3-3

Magoli hayo yamefungwa na wachezaji wafuatao YANGA SCKisinda, Kaseke na Mukoko. KAGERA SUGARPeter, Hassan na Mhilu

Aidha, baada ya kumlazimisha Azam kichapo cha goli 2-1 katika Dimba la Mkwakwani, Coastal Union hii leo wamerejeshewa adhabu ya goli 2-1 na Dodoma Jiji katika Dimba la Jamhuri huko Dodoma