TABIA 8 ZINAZOUA NDOTO NA MAFANIKIO YA WATU WENGI.*
- Kuahirisha.
- Uvivu.
- Kukata tamaa mapema.
- Visingizio.
- Mawazo hasi.
- Matumizi mabaya ya pesa.
- Kuridhika.
MAMBO MATATU MUHIMU KUKUFANIKISHA MAISHANI
- Maarifa (Knowledge)
Je unafahamu nini? Kwa kiasi gani? Hicho unachofahamu kinakufaidishaje wewe na wanaokuzunguka? - Maamuzi sahihi (Right decisions)
Kuwa makini sana na maamuzi unayoyafanya maana yanaweza kuijenga au kuibomoa leo na kesho yako. - Nafsi isiyo na ubinafsi (Unselfish mind)
Ukiwafungulia wengine milango na yako itafunguliwa, ukiwafungia na yako itafungwa kabisa. Wajali watu
MASWALI MATANO (5) YAKUJIULZA AMBAYO YANAWEZ A KUBADILISHA MAISHA YAKO
- Mimi ni nani?
- Nimetokea wapi?
- Naelekea wapi?
- Nimefika wapi?
- Natakiwa nifanye nini?
Safari ya maisha kuelekea Mafanikio ama chochote kile unachokihitaji, huanzia katika kujitambua.