Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya Magari mapya walio kabidhiwa Jeshi la Magereza wakati wa uzinduzi wa Majengo ya makao makuu ya Jeshi la Magereza eneo la Msalato jijini Dodoma leo Tarehe 4 Februari 2021.