Picha ya Siku Kutoka Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza jambo na Watoto, mara baada ya kuwahutubia Wananchi wa Manyoni Mjini, Mkoani Singida, Leo, Jumapili, Januari 31,2021.