PICHA YA SIKU

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge akifurahia jambo na Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa wanaojenga miundombinu ya Skimu ya umwagiliaji ya Kikosi cha Chita JKT 837 uliopo Ifakara Mkoani Morogoro. Mfereji huo unapita chini ya reli kwaajili ya kupeleka maji katika mashamba ya mpunga.