KOCHA MPYA WA SIMBA

“Timu niliyoondoka niliamua mwenyewe. Nataka kuwepo Simba kwa muda mrefu.”- Didier Gomes Da Rosa.

“Nina furaha sana kuwa hapa na tuna nafasi ya kufanya mengi pamoja mbeleni.”- Kocha Didier baada ya kutambulishwa.

V

ilabu alivyopita pamoja na muda aliokaa.

2013-2014 Rayon Sports
2014-2015 Coton Sports
2015-216 CS Constantine
2016-2017 JSM Skikda
2017-2018 Ethiopian Coffee
2019- Horoya AC
2019-2020 Ismaily
2020- Al Merrikh