“Asanteni kwa wale wote mliotuunga mkono na kuwa na imani na sisi wakati wa kampeni kwa wale ambao hawakutuunga mkono, sisi tunasonga mbele, kama bado haukubaliani na sisi wewe endelea, hiyo ndiyo demokrasia na hili ndilo Taifa la Marekani”
“Kutokukubaliana haipaswi kuleta mfarakano, nikuhakikishie tu nitakuwa Rais wa Wamarekani wote, na nikuahidi nitawatumikia wote kwa wale ambao waliniunga mkono na hata wale ambao hawakuniunga mkono”
“Bila umoja, hakuna amani zaidi ya machungu na ghadhabu, hakutokuwa na maendeleo bali kuwa na Taifa lenye machafuko, umoja ndiyo njia pekee ya kutufanya tusonge mbele, sikilizaneni na kila mmoja amheshimu mwenzake”