Perfect Chikwende Amejiunga na Mabingwa wa Tanzania SIMBA SC

Chikwende ambaye ni raia wa Zimbabwe akicheza nafasi ya ushambuliaji amejiunga na mabingwa wa nchi akitokea klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe, pia aliwahi kuchezea timu ya Bulawayo Chiefs.

Azam FC
Imefanikiwa kunasa saini ya kiungo mshambuliaji, Yahya Zayd, kwa mkopo wa miezi sita akitokea Pharco ya Misri.
Zayd ni mmoja wa wachezaji waliojlkulia kwenye kituo cha Azam Academy kabla ya kumpandisha timu kubwa ya Azam FC na tukamuuza Ismaily ya Misri mwaka juzi.
Kiungo huyo mshambuliaji amekamilisha Usajili Azma Fc wa dirisha dogo baada ya kuwasajili.
Usajili alioufanya awali ni mshambuliaji Mpiana Monzinzi (Congo DR) na kipa Mathias Kigonya (Uganda).
Young Africans Sports Club
Imemtambulisha Fiston Abdoul Razak raia wa Burundi kuwa Mchezaji mpya wa Timu hiyo akitokea ENPPI Ya Misri.

Timu alizowahi kuchezea:
2012 – Rayon Sports (Rwanda)
2015 – Sofapaka (Kenya)
2017 – Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
2017 – Bloemfontein Celtic (Afrika Kusini)
2017 – 1º de Agosto (Angola) 2018 – Al-Zawraa
2019 – JS Kabylie (Algeria)
2020 – ENPPI SC (Misri)
You must be logged in to post a comment.