
Msemaji wa FC Platinum Chido Chizondo amethibitisha suala la kumzuia Perfect Chikwende kuondoka lisingewezekana
“Bado haijathibitishwa ni timu gani, Ila kwa sasa tunaweza kuthibitisha kuwa anaenda Tanzania” alisema Chido Chizondo
Awali Azam FC ilihusishwa kwa karibu kutaka huduma yake, na Barua waliyotumiwa Azam kutoka FC Platinum iliwataarifu hawawezi kumuachia chini ya Tsh. Mil 116.
Ambapo, Simba SC iliibuka na kuweka mezani dau la Mil 127 na kufanikisha dili hilo.

You must be logged in to post a comment.