
Shirikisho la soka la Dunia FIFA kupitia CAS imeishushia rungu Klabu ya Yanga kwa kuiamuru kumlipa Tambwe Dola 20,000 (Tsh 46.4 milioni)
CAS inaitaka Yanga kumlipa Tambwe pesa hizo ambazo ni deni la ada ya usajili na mishahara ya miezi mitatu ndani ya siku 45 tangu hukumu hiyo itolewe Disemba 1, 2020.
Hii ifundishe vilabu vinapoachana na wachezaji hawa imalizane nao kabisa pesa zao kuliko kuacha Mchezaji afungue malalamiko hadi FIFA.
Watch “KIKUNDI CHA SANAA ASILI YA MARA KUTOKA BUTIAMA” on YouTube https://youtu.be/euiqiTKuU1w
You must be logged in to post a comment.