
Mahakama ya Katiba nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imemzuia Rais Mstaafu François Boziźe kugombea katika uchaguzi utakaofanyika Disemba 27, 2020. Boziźe aliyepinduliwa mwaka 2013 anakabiliwa na tuhuma za mauaji na kutesa watu, na Umoja wa Mataifa (UN) umemuwekea vikwazo.
You must be logged in to post a comment.