Mashabiki wowote wanahaki ya kuingia uwanjani

TFF imesema kwa mujibu wa katiba ya FIFA, Vitendo hivyo ni kinyume na sheria na havikubaliki.

Shirikisho la soka nchini Tanzania }{TFF}, imekemea vikali kauli zenye lengo la kuzuia haki ya mashabiki kuingia viwanjani kwa lengo kushuhudia michezo mbalimbali kwani kila Mshabiki anaruhusiwa kuingia kwenye Mechi yoyote ikiwa tu havunji sheria taratibu za mpira zilizowekwa