COVID-19| RAIS WA ZAMANI WA UFARANSA AFARIKI DUNIA

Rais wa zamani wa Ufaransa, Valery Giscard amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa virusi vya corona akiwa na umri miaka 94.

Taarifa zimeeleza kuwa Giscard alifariki jana kwenye nyumba yake Mkoa wa Loire, akiwa amezungukwa kitandani na familia yake.

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Marcon ameto salamu zake za pole huku akimtaja kiongozi huyo wa zamani wa taifa hilo kufanikiwa kuibadilisha ufaransa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka saba ya Utawala wake.

Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi, Amin