
Klabu ya Simba imemtambulisha kiungo mkabaji Taddeo Lwanga, raia wa Uganda.

Taddeo Lwanga ni kiungo mkabaji (defensive midfielder) wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Uganda ambaye amewahi kuzichezea timu za Express FC, SCV Kampala, Vipers FC na Tanta FC.

Karibu Lwanga uwe sehemu rasmi ya mabingwa wa nchi na wawakilishi wa nchi mwenye michuano mikubwa ya kimataifa.
You must be logged in to post a comment.