SIMBA YA TOA JENZI MPYA ZA KIMATAIFA

Dar es salaam klabu ya kandanda Tanzania na bingwa wa ligi kuu Tanzania bara yazindua jenzi mpya kupitia ukurasa mitandao ya kijamii kwenye akaunti lasmi za klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi

Benard Morisson BM3
Golikipa wa Timu ya vijana